Kunyanyua vyuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:TwoDumbbells.JPG|thumb|Mfano wa vyuma vya mazoezi.]]
'''Kunyanyua vyuma''' ni moja ya mazoezi maarufu kwa ajili ya kujenga [[nguvu]] na kukuza [[mifupa]]. Mazoezi ya aina hii hufanywa kwa kunyanyua vyuma vyenye [[uzito]] wa aina mbalimbali.
 
Michezo mbalimbali [[duniani]] hutumia aina hii ya mazoezi kuimarisha nguvu na [[afya]] za [[wachezaji]]. Michezo hii ni kama vile [[mpira wa vikapukikapu]], [[mpira wa miguu]], [[mpira wa magongo]], [[riadha]], [[mieleka]], n.k.
'''Kunyanyua vyuma''' ni moja ya mazoezi maarufu kwa ajili ya kujenga nguvu na kukuza [[mifupa]]. Mazoezi ya aina hii hufanywa kwa kunyanyua vyuma vyenye uzito wa aina mbalimbali.
 
Pia ni [[mchezo]] mmojawapo ambao toka zamani unafanyika katika [[Olimpiki]].
Michezo mbalimbali duniani hutumia aina hii ya mazoezi kuimarisha nguvu na afya za wachezaji. Michezo hii ni kama vile mpira wa vikapu, mpira wa miguu, mpira wa magongo, riadha, mieleka, n.k.
 
{{mbegu-michezo}}
 
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki]]
[[Jamii:Afya]]