Said bin Sultani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
Sultani mwenyewe aliondoka kabisa Maskat mwaka [[1840]]. Kukua kwa Zanzibar kulisababisha kukonda kwa mji wa Maskat.
 
Baada ya [[kifo]] cha Sayyid Sultan mwaka [[1856]], usultani wa Oman uligawiwa kati ya wanawe. [[Sayyid Majid]] bin [[Said Al-Busaid]] ([[1834]]/[[1835]]–[[1870]]) akawa Sultani wa kwanza wa Zanzibar na [[kaka]] yake [[Sayyid Thuwaini]] bin [[Said al-Said]] akawa Sultani wa Oman akitawala nchi hiyo bila maeneo ya Afrika ya Mashariki.
 
{{mbegu-mtu}}