Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Katika sentensi hii makala za [[ndege]], [[Merginae]] na [[Anatidae]] ziko tayari lakini "[[familia ndogo]]" haikuandikwa bado. Wakati wa kuandika makala unaweza kuanzisha viungo vyekundu ukiona hapa ni neno muhimu inayostahili makala yake.
 
Hapa unatakiwa kuwa kiangilifumwangalifu
*usiweke maneno hovyo katika mabano mraba na kuanzisha kiungo chekundu manna maneno yaleyale katika mabano yanatakiwa kuwa jina la makala mpya.
*fanya utafiti kama mada iko tayari labda kwa tahajia tofauti; kwa mfano umetafuta nchi ya "[[Aljiria]]" lakini kumbe: "[[Algeria]]" iko tayari!
Mstari 46:
====Kuhakikisha viungo ni sahihi====
Hapa tunatumia dirisha la "tafuta" [[Picha:Wikipedia-menyu-Kutafuta.png]] upande wa kushoto. Tukitaka kujua kama kuna tayari chochote kuhusu "Pemba" tunaandika neno hili dirishani. Halafu tunabofya "tafuta" tutapata orodha ya makala 119 yote yaliyo na neno "Pemba" ama katika jina au katika maandishi ya makala, kama vile [[Pemba (kisiwa)]], [[Mkoa wa Pemba Kusini]], [[Mkoa wa Pemba Kaskazini]], kata zote za Pemba, makala za kihistoria zinazogusa Pemba na mengine. Kwa kuchungulia usigonge "makala" chini ya dirisha maana hii itakupa makala 1 tu ama ya [[Pemba]] (maana) au ya mahali 1 tu. Kwa njia hii unaweza kuunganisha na makala yaliyopo tayari ukitumia jina na umbo sahihi.
 
 
Tafadhali tazama viungo vyako ili kuhakikisha kwamba zimeelekezwa katika makala sahihi. Kwa mfano, [[Gibraltar]] imelengwa katika makala inayohusu eneo dogo la Kiingereza ndani ya Hispania, wakati [[Mlango wa Gibraltar]] ni jina la makala inayohusu mlango wa bahari kati ya Ulaya na Afrika karibu na Gibraltar.
Line 81 ⟶ 80:
==Interwiki==
[[Picha:Interwiki.png|thumb|300px|Bofya hapa kuona picha vizuri zaidi]]
Interwiki ni orodha ya viungo vya mada fulani na makala za kufanana katika wikipedia za lugha mbalimbali. Katika ukurasa unaosoma sasa hivi orodha ipo upande wa kushoto nje ya makala chini ya "Lugha nyingine". Hapa unaona majina kama Alemannisch, العربية, Català, Česky, English na kadhalika. Zote ni tangirangi ya buluu maana ni viungo kwenda kurasa za "Mwongozo wa wikipedia" kwa lugha hizi.
 
Ukianzisha makala mpya na kuihifadhi utaona hakuna majina ya lugha buluu bado. Bofya "Add links" utaona dirisha ndogodogo. HapaHumo unaandika juu "enwiki" na kuthebitishakuthibitisha, chini yake unaandika jina la makala husika katika Wikipedia ya Kiingereza. ThebitishaThibitisha tena na sasa makala yako ya Kiswahili imeunganishwa na namba ya mada yake katika orodha ya makala za wikipediaWikipedia zote. Sasa itaonyesha lugha nyingine kwa rangi ya buluu na makala yetu ya kiswahiliKiswahili inaonekana pia kwa wasomaji wa lugha nyingine. Hii ni msaada kubwa kwa wahariri wanaoweza kusoma lugha mbalimbali na kuongeza habari kutoka huko.
 
<div style="float: left; background-color: #f5faff; color: #000; padding: .2em .6em; font-size: 130%; border: 1px solid #cedff2;">'''Jaribu ulichojifunza katika [[/sanduku la mchanga/]]'''</div>{{-}}