Delta (herufi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14390 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Delta uc lc}}
'''Delta''' ni [[herufi]] ya nne katikaya [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama '''Δ''' (herufi kubwa ya mwanzo) au '''δ'''. Zamani(herufi ilikuwandogo pia alama kwa nambaya 4kawaida).
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama [[namba]] "4".
 
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za [[Kigiriki]] inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Inaweza kutumiwa kutaja [[pembe]] ya nne katika [[pembenne]].
 
Katika [[astronomia]] inatumiwa kuanza hesabu ya [[nyota]] katika [[kundinyota]]. Katika [[Johann Bayer|mfumo wa Bayer]] inataja nyota angavu ya nne katika kundinyota fulani.
 
Asili ya delta ni herufi ya [[kifinisia]] ya daleth ([[D|tazama makala ya D]]). Matamshi yake ni kama [[D]] ya Kiswahili.