Kifausi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image: Cepheus_IAU.svg|thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Kifausi (Cepheus) katika sehemu yao ya angani, kwa macho ya mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
[[Image: Sidney Hall - Urania's Mirror - Cepheus.jpg|thumb|right|250px|Nyota za kundinyota Kifausi (Cepheus) jinsi ilivyochorwa miaka 200 iliyopita pale Ulaya]]

'''Kifausi''' ('''[[:en:Cepheus|Cepheus]]''' kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]) <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cepheus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Cephei " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cephei, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya [[dunia]] yetu.

==Mahali pake==
Kifausi ni kundinyota kubwa karibu na ncha ya angani ya kaskazini lakini ni pana na nyota zake za kusini zinaonekana pia katika Afrika ya Mashariki.
Line 14 ⟶ 15:
Katika [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] alikuwa mfalme wa [[Ethiopia]] na mume wa malkia Cassiopeia ([[Mke wa Kurusi]]) aliyejivunia kuwa yeye mwenyewe na binti yake [[Mara (kundinyota)|Mara]] ''([[:en:Andromeda (constellation)|Andromeda]])'' ni wazuri kushinda mabinti wa [[Poseidon]] mungu wa bahari. Hapo Poseidon aliamua kumwadhibu kwa kutuma dubwana [[Ketusi (kundinyota)|Ketusi]] dhidi yake. Kifausi pamoja na malkia yake waliamua kumtoa binti Mara (Andromeda) kama sadaka kwa Ketusi kwa kumfunga kwenye ufuko wa bahari ili aliwe na dubwana huyu lakini shujaa [[Farisi (kundinyota)|Farisi]] ''([[:en:Perseus (constellation)|Perseus]])'' akaingia kati na kumwokoa. Baadaye wote waliinuliwa angani kama nyota <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> kwa hiyo tunaona Kifausi (Cepheus) jirani na kundinyota za Mke wa Kurusi (Cassiopeia) na Mara, halafu Ketusi na Farisi aliyekuja kumwokoa Mara katika simulizi la mitholojia.

Kifausi ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK kwa jina Kassiopeia. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Cepheus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'CasCep'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>

==Nyota==
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="1" style="margin-left:0.5em; background:#CDC9C9;"
! Jina la
([[Johann Bayer|Bayer]])
! Namba ya
[[Namba za Flamsteed|Flamsteed]]
! Jina
([[Ukia]])
! Mwangaza
unaoonekana
! Umbali
([[miaka ya nuru]])
! [[Aina ya spektra]]
|- style="background:#FFFAFA"
| α
| 5
| Alderamin
| 2,45
| {{0}}{{0}}49
| A7 IV-V
|- style="background:#FFFAFA"
| β
| 8
| Beta Cephei|Alfirk
| 3,15 - 3,21
| ca. 700
| B2 III
|- style="background:#FFFAFA"
| γ
| 35
| Gamma Cephei|Errai, Arrai, Alrari
| 3,22
| {{0}}{{0}}46
| K1 IV
|- style="background:#FFFAFA"
| ζ
| 21
| Zeta Cephei|Tsao Fu
| 3,39
| {{0}}726,43
| K1 Ib
|- style="background:#FFFAFA"
| η
| 3
| Eta Cephei
| 3,40
| {{0}}{{0}}46,78
| K0 IV
|- style="background:#FFFAFA"
| ι
| 32
| Iota Cephei
| 3,50
| {{0}}115,38
| K1 III
|- style="background:#FFFAFA"
| δ
| 27
| Al Radif, Delta Cephei
| 3,6 - 4,3
| {{0}}950,92
| F5 - G3 Ib
|- style="background:#FFFAFA"
| μ

| Erakis
| 3,62 - 5,0
| 5260,73
| M2 Iab + M0 + A
|- style="background:#FFFAFA"
| ε
| 23
| Phicares
| 4,18
| {{0}}{{0}}83,93
| F0 IV
|- style="background:#FFFAFA"
| θ
| 2
| Al Kidr
| 4,20
| {{0}}135,68
| A7 III
|- style="background:#FFFAFA"
| ν
| 10
| Cor Regis
| 4,25
| 5096,36
| A2 Ia
|- style="background:#FFFAFA"
| ξ
| 17
| Alkurah, Kurah
| 4,26
| {{0}}{{0}}85,83
| A3 + F7

==Tanbihi==