En'yu wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
d rekebisha kiungo
Mstari 1:
'''En'yu''' ([[12 Aprili]], [[959]] – [[1 Machi]], [[991]]) alikuwa mfalme mkuu wa 64 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Morihira'', na alikuwa mwana wa tano wa Tenno [[Murakami]]. Mwaka wa [[969]] alimfuata kaka yake, Tenno [[Reizei]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 984. Aliyemfuata kama Tenno ni mpwa wake, [[Kazan wa Japani|Kazan]].
 
==Angalia pia==