Benki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Kwenye ngazi hii benki inatunza [[pesa]] ya watu wengi. Kwa utunzaji huu benki haiachi pesa kukaa bure tu lakini inaitumia kwa biashara yake. Inaitumia kukopesha [[kampuni]] au [[watu]] wanaohitaji fedha.
 
Wanaokopa pesa wanalipa [[riba]] ambayo ni [[bei]]mapato ya benki kwa [[huduma]] ya kukopesha; kutokana na mapato haya benki inalipa pia riba ndogo zaidi kwa wale waliopeleka pesa zao kwake. Tofauti kati ya viwango vya aina hizi [[mbili]] za riba ni [[faida]] na [[pato]] la benki. Jambo muhimu linaloangaliwa na benki wakati wa kukopesha pesa ni uwezo wa mkopaji kurudisha deni lake.
 
[[Asili]] ya benki ilikuwa biashara ya wakopeshaji fedha. Siku hizi kuna benki za aina mbalimbali pamoja na: