Hans Buchner : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:13, 26 Mei 2006

Hans Buchner (16 Desemba 1850 – 5 Aprili 1902) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa na damu ya binadamu. Alikuwa kaka ya Eduard Buchner aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907.

Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, Hans Buchner.