York : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 72 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q42462 (translate me)
york
Mstari 9:
Kando la mji wa kihstoria kuna maeneo ya [[Chuo Kikuu cha York]] kilichoanzishwa mwaka 1963.
 
== Vya Kuona jijini New York Uingereza ==
York ni jiji lakupendeza kulingana na [http://what-to-do-in.co.uk/things-to-do-in-york Things to do in York]. Wageni wanapotembea jiji hili kwa mara ya kwanza wanashauriwa watembelee mahala kama The Shambles, York Minster, National Railway Museum, Jorvik Viking Centre na River Cruise.
 
The Shambles ni kati ya mahala kwenye kumekuwepo York kwa muda mrefu zaidi. Unapotembea kwa The Shambles utapendezwa na majengo pamoja na angiko za wachinja nyama zilizo kwa njia. York Minster imejengwa kwa ustadi mwingi sana na usanii wa kitambo ambao wavutia hadi wa leo. National Railway Museum ni mahala ambapo utaona reli ambayo imejengwa kwa ustadi wa juu zaidi duniani nzima. 
 
== Viungo vya Nje ==
# http://what-to-do-in.co.uk/things-to-do-in-york
[[Category:Miji ya Uingereza]]
[[Category:Miji ya Hanse]]