Newcastle upon Tyne : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 76 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1425428 (translate me)
newcastle
Mstari 19:
 
'''Newcastle''' ni mji wa [[Uingereza]].
 
Newcastle ni jiji la Uingereza lililo kando na mto wa Tyne nchini ya Uingereza na lililo na watu wengi sana. Jiji hili lilikua baada ya kuongozwa na Waroma na liliitwa the Castle na Robert Curthose.
 
== Vya Kuona jijini Newcastle ==
Unapotembea jijini Newcastle, hutokuwa umetembea sana kama hutoangalia Seven Bridges zenye mvuto mkubwa sana. Kulingana wa wovuti wa [http://what-to-do-in.co.uk/things-to-do-in-newcastle Things to do in Newcastle], pahala pengine penye mvuto mkubwa zaidi jijini Newcastle ni Eldon Square Shopping Centre. Hapa utaweza kununua vitu unavyotaka kwa bei rahisi na pia uweze kuangalia wachuuzi mbalimbali na uone watu wengi walio kwa hii shopping centre.
 
Great North Museum, Hancock ni pahala pengine penye mvuto mkubwa. Hapa utaweza kuona vitu mbali mbali vilivyo kwa hii museum na pia uweze kujua historia ya jiji hili la Newcastle.
 
Life Science Centre ni mahala kwingine ambapo utaweza kujua mengi kuhusu sayansi katika Newcastle. Katika Life Science Centre utaweza kupitia kwa 4D motion ride.
 
== Tazama pia ==