Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 14:
==Adhimisho la sakramenti ya ndoa==
{{Sakramenti}}
Harusi ni [[wito]] wa maana sana katika Kanisa Katoliki. [[Vijana]] huhimizwa waoane maana Kanisa na jamii vinahitaji kuwa na vizazi vya kesho. Bila ndoa, hamtakuwa na mustakabali wa Kanisa wala jamii.
 
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya Yesu na Kanisa lake. “Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi arusi, mke wa Mwanakondoo” (Ufu 21:9). Wakiwa na ndoa halisi, mume na mke waliobatizwa ni ishara wazi ya hao wanaarusi wawili wasioonekana. “Kama vile Kanisa limtiivyo Kristo, vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake” (Ef 5:24-25). Ndiyo sababu Mkatoliki hawezi kufunga ndoa bila ya kuhusisha Kanisa na kufuata taratibu zake.
 
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]], lakini wanakubali katikaPadre mazingirahuwaleta yapamoja pekeebwana iwezena kufungwabibi nawawe wanaarusikitu mbelekimoja yakilichofunganishwa kwa mapenzi. Yeye hutaka mashahidi wawilina hatawatu bilawote wasikie wakati maharusi wanachukua amri za kupendana maisha yao yote. Nao hupeana pete na kushangiliwa na wote waliojumuika kwa Misa. Kunako misa wakati huu, padre Sakramenti ya kuwepoharusi hupewa hawa wawili maana wamekuwa [[kasisi|padri]]kitu kimoja.
 
Hata hivyo, katika mazingira ya pekee ndoa ya Kikatoliki huweza kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo [[kasisi|padri]]
<ref>[https://religiousweddingguide.com/prayer-of-the-faithful-catholic-wedding/ Prayer of the Faithful Catholic Wedding]</ref>.
Kumbe Waorthodoksi wanahesabu [[baraka]] ya padri kuwa sehemu ya lazima ya sakramenti, ambayo wanaarusi wanapewa.