Sakramenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
== Katika Kanisa Katoliki ==
{{Sakramenti}}
Kuanzia [[Thoma wa Akwino]] ([[karne ya 13]]) [[Kanisa Katoliki]] linaorodhesha sakramenti [[Saba (namba)|saba]] zilizowekwa na [[Yesu Kristo]]: [[Ubatizo]], [[Kipaimara]], [[Ekaristi]], [[Kitubio]], [[Mpako wa wagonjwa]], [[Daraja takatifu]] na [[Ndoa]].
*[[Ubatizo]]: hupewa watu wazima, vijana na hata watoto wachanga kama ishara ya kwamba wamelakiwa katika uhai mpya,
*[[Kipaimara]]: hupewa mbatizwa ili awe thabiti katika imani,
*[[Ekaristi]]: ni sakramenti inayofanya Mkristo ashiriki Mwili na Damu ya Kristo,
*[[Kitubio]]: ni sakramenti anayopewa Mkristo anapokwenda kukiri kwa majuto dhambi zake,
*[[Mpako wa wagonjwa]]: ni sakramenti ya Mkristo anapokuwa mgonjwa sana,
*[[Daraja takatifu]]: ni sakramenti ya kumwezesha Mkristo kuwa kiongozi ndani ya Kanisa,
*[[Ndoa]]: ni sakramenti wanayopeana wanaarusi wakiamua mustakabali wao kuwa wa pamoja maisha yote.
 
Kwa njia yake Yesu anaingia katika [[maisha]] ya binadamu ili kuwaunganisha naye hasa katika fumbo la [[Pasaka]] (yaani [[Msalaba wa Yesu|kifo]] na [[Ufufuko wa Yesu|ufufuko wake]]).