Misimu (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Msimu''' ni [[Neno|maneno]] yasiyo [[sanifu]] yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye [[utamaduni]] mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa [[msamiati]] rasmi wa [[lugha]].
==Chanzo==
Mabadiliko ya [[Historia|kihistoria]] yanaoikumba [[jamii]] katika shughuli mbalimbali
Kwanza ni matukio mbalimbali yanayojitokeza katika jamii; matukio hayo yanaweza kuwa [[vita]], [[njaa]], [[ukame]] na kadhalika. Misimu hiyo yaweza kuwa ni ya kubeza, kusifu na kukejeli.
Ya pili ni uwepo wa [[tabaka|matabaka]], uwepo wa tofauti za kimaisha katika jamii fulani: kwa mfano, walalahoi ni [[maskini]] na magambacholi ni wenye nazo.
Ya tatu ni [[utani]], utamaduni wa kutaniana. Jambo lingine linalosababisha kuzuka kwa misimu, msimu huu hubeba [[kejeli]] na [[dhihaka]].
Ya nne ni [[maendeleo]] ya [[sayansi]] na [[teknolojia]]: hayo pia huwa chanzo cha misimu; [[Kitu|vitu]] vipya vinavyojitokeza katika jamii vinadai uwepo wa maneno yanayozuka, kwa mfano, [[bajaji]] na [[digitali]].
==Sifa==
*1) [[Huzuka]] na
*2) Ni [[lugha]] isiyosanifiwa
*3) Ni lugha ya [[mafumbo]]
*4) Hupendwa
*5) Ni lugha inayofahamika na watu wachache
*6) Huwa na [[chumvi]] nyingi.
==Aina za misimu==
Katika misimu kuna aina tatu ambazo ni:
*1) Misimu ya pekee: misimu hii huelezea uhusiano wa kikundi kidogo kwenye utamaduni mmoja ambayo huweza kuwa shule moja, mtaa mmoja, ofisi moja na kadhalika.
*2) Misimu ya kitarafa: misimu hii huchukua eneo pana kidogo, kwa mfano kata, wilaya na hata mkoa.
*3) Misimu zagao: misimu hii huenea karibu nchi nzima; wakati mwingine huvuka nchi: kwa mfano, Wapemba na wakereketwa.
==Dhima au kazi==
Sababu ya kutumia misimu ni:
*1)
*2) Hutumika [[kupamba]] lugha▼
*2) kukuza lugha
*3) Hutumika kubaini [[hisia]] mbalimbali za wazungumzaji▼
*4) Hufurahisha na kuchekesha kwa kuwa haina [[chuki]] wala [[kejeli]]▼
*4) kufanya mawasiliano yawe mafupi
*5) Hupunguza [[ukali]] wa maneno, mfano: kula [[raha]] = kufanya [[ngono]]▼
▲*
*8) kukosoa na kuiasa jamii (kwa mfano: [[fataki]]).
==Njia za kuunda msimu==
*1) Kufupisha maneno (kwa mfano: kk, yaani kula na kulala)
*2)
*3) Kutumia [[silabi]] ni utenganisho wa [[umbo]], [[rangi]], [[kiini]], [[dhima]] baina ya watu
*4) Kutumia sitiari
*5) kutumia [[tanakali]] sauti nyingine.
==Sababu za kutumia msimu==
Line 28 ⟶ 49:
*3) Kuongeza [[uzuri]] na ukali wa jambo wakati wa kulikamata n.k.
==
Matatizo yanayojitokeza katika misimu ni kwamba:
*1) huharibu lugha sanifu,
*2) mara nyingi huleta msamiati wenye matusi,
*3) hupunguza hadhira,
*4) huzuka na kutoweka,
*5) ni lugha ya mafumbo,
*6) ina maana nyingi.
{{mbegu-lugha}}
|