Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Njombe''' ni [[mji]] mwenye halmashauri na hivyo hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Njombe]] nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''59100''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/njombe.pdf</ref>. Ni pia [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Njombe]] na [[Wilaya ya Njombe Vijijini]].
 
Njombe iko kwenye kimo cha mita 2000 [[juu ya UB]] kwenye sehemu ya mashariki ya milima ya Kipengere na tabianchi ni baridi kiasi<ref name="Tanzania travel guide">{{cite book|title=Tanzania travel guide|date=June 2015|publisher=Lonely Planet|page=271|edition=6|isbn=978-1742207797|accessdate=12 January 2016}}</ref>. Mji iko takriban kilomita 200 kusini mwa [[Iringa]] na kilomita 150 upande wa kaskazini-mashariki mwa [[Mbeya]]. [[Misimbo ya posta]] ni 59101 (mjini, CBD) hadi 59117.