Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{For|mkoa ya Kenya|Mkoa wa Pwani (Kenya)}}
[[Picha:Tanzania Pwani location map.svg|thumb|right|175px|Mkoa wa Pwani katika Tanzania]]
'''Mkoa wa Pwani''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''61000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf</ref>. Mkoa umepakana upande wa [[Kaskazini]] na [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], upande wa [[mashariki]] na [[Dar-es-Salaam]] na [[Bahari Hindi]], upande wa [[kusini]] na [[mkoa wa Lindi]] na upande wa [[magharibi]] na [[mkoa wa Morogoro]].
 
[[Makao makuu]] ya mkoa yako [[Kibaha]].