Eksirei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Eksirei|thumb|Eksirei '''Eksirei''' ni aina ya mionzi ya umeme. Eksirei ni mawimbi ya mionzi ya X. Eksirei...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:25, 22 Oktoba 2017

Eksirei ni aina ya mionzi ya umeme. Eksirei ni mawimbi ya mionzi ya X. Eksirei ina urefu wa wimbi mfupi, na hivyo zina nishati kubwa zaidi kuliko mionzi urujuanimno. Hizo zina urefu wa wimbi mfupi sana kuliko mwanga unaoonekana (mwanga ambao tunaweza kuona). Mionzi yenye urefu wa wimbi mfupi (nishati zaidi) kuliko eksirei inaitwa mionzi ya Gamma . Hizi ni sehemu zote za wigo wa umeme.

Eksirei
Eksirei

Yrefu wa wimbi wa eksirei hufunika mahali mbalimbali. Eksirei nyingi zina urefu wa wimbi katika kiwango cha 0.01 hadi 10 nanometa. Hii inafanana na mawimbi katika petahezi 30 hadi exahezi 30 (3 × 1016 Hz hadi 3 × 1019 Hz) na nguvu katika kiwango cha 100 eV hadi 100 keV.

Eksirei inaweza kupita kwenye vitu vingi yabisi. Kwa sababu hii, huchukua picha mfano za mifupa ndani ya mwili.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.