Eksirei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Eksirei|thumb|Eksirei '''Eksirei''' ni aina ya mionzi ya umeme. Eksirei ni mawimbi ya mionzi ya X. Eksirei...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:X-ray chest cancer.jpg|alt=Eksirei|thumb|Eksirei]]
'''Eksirei''' ni aina ya [[mionzi]] ya [[umeme]]. Eksirei ni [[mawimbi]] ya mionzi ya [[X]]. Eksirei ina urefu wa wimbi mfupi, na hivyo zina [[nishati]] kubwa zaidi kuliko mionzi [[urujuanimno]]. Hizo zina urefu wa wimbi mfupi sana kuliko [[mwanga]] unaoonekana (mwanga ambao tunaweza kuona). Mionzi yenye urefu wa wimbi mfupi (nishati zaidi) kuliko eksirei inaitwa [[mionzi ya Gamma]] . Hizi ni sehemu zote za [[wigo]] wa [[umeme]].
 
Eksirei ina [[urefu]] wa [[wimbi]] mfupi, na hivyo zina [[nishati]] kubwa zaidi kuliko mionzi [[urujuanimno]]. Hizo zina urefu wa wimbi mfupi sana kuliko [[mwanga]] unaoonekana (mwanga ambao tunaweza kuona). Mionzi yenye urefu wa wimbi mfupi (nishati zaidi) kuliko eksirei inaitwa [[mionzi ya Gamma]]. Hizi ni sehemu zote za [[wigo]] wa [[umeme]].
Yrefu wa wimbi wa eksirei hufunika mahali mbalimbali. Eksirei nyingi zina urefu wa wimbi katika kiwango cha 0.01 hadi 10 nanometa. Hii inafanana na mawimbi katika [[petahezi]] [[30]] hadi [[exahezi]] [[30]] (3 × 1016 Hz hadi 3 × 1019 Hz) na [[nguvu]] katika kiwango cha 100 eV hadi 100 keV.
 
YrefuUrefu wa wimbi wa eksirei hufunika mahali mbalimbali. Eksirei nyingi zina urefu wa wimbi katika kiwango cha 0.01 hadi 10 nanometa. Hii inafanana na mawimbi katika [[petahezi]] [[30]] hadi [[exahezi]] [[30]] (3 × 1016 [[Hz]] hadi 3 × 1019 Hz) na [[nguvu]] katika kiwango cha 100 [[eV]] hadi 100 keV.
Eksirei inaweza kupita kwenye vitu vingi [[yabisi]]. Kwa sababu hii, huchukua [[picha]] mfano za [[mifupa]] ndani ya [[mwili]].
 
Eksirei inaweza kupita kwenye vitu vingi [[yabisi]]. Kwa sababu hii, huchukua [[picha]] mfano za [[mifupa]] ndani ya [[mwili]].
 
{{tech-stub}}
 
[[Jamii:Tiba]]