Mitazamo ya Agano Jipya juu ya Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|upright|Mchoro wa [[Lodovico Carracci (1594) unaoonyesha kugeuka sura kwa Yesu mbele ya Mitume...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Transfiguration by Lodovico Carracci.jpg|thumb|upright|Mchoro wa [[Lodovico Carracci]] ([[1594]]) unaoonyesha [[kugeuka sura]] kwa Yesu mbele ya [[Mitume wa Yesu|mitume wake]] [[Mtume Petro|Petro]], [[Yakobo Mkubwa]] na [[Yohane mwinjili|Yohane]].]]
{{Yesu Kristo}}
'''Mitazamo ya Agano Jipya juu ya Yesu''' inatofautiana kadiri ya [[waandishi]], lakini bila kuvunja [[umoja]] wa [[imani]] yuu yake kama [[Kristo]] na [[Mwana wa Mungu]].
 
Mitazamo muhimu zaidi ni ile ya [[Mtume Paulo]] na [[Mtume Yohane]], ambao ndio [[wanateolojia]] hasa, lakini ipo mingine kama ile ya [[Injili ya Marko]], [[Injili ya Mathayo]], [[Mwinjili Luka]], [[Waraka kwa Waebrania]] n.k.
 
Pengine mwandishi yuleyule anatushirikisha mitazamo tofautitofauti katika [[vitabu]] vyake, kwa mfano kutokana na maendeleo ya uelewa wake. Hivyo jinsi [[Yesu Kristo]] anavyoonekana katika [[Waraka kwa Waefeso]] imeendelea kuliko ilivyo katika [[Waraka wa kwanza kwa Wathesalonike]] ulioandikwa na Paulo yuleyule zaidi ya miaka 10 kabla yake.
 
[[Kristolojia]] inakusanya mitazamo hiyo yote na kujitahidi kuelewa zaidi tena [[fumbo]] la Kristo.
Mstari 13:
[[Jamii:Yesu Kristo]]
[[Jamii:Agano Jipya]]
[[Jamii:TeolojiaKristolojia]]