Ajali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Partial stadium collapse at Big12 college football championship - 2005.JPG|right|thumb|Kitalu cha benchi chaanguka katika
'''Ajali''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]) ni [[tukio]] maalumu linalotambulika na lisilotarajiwa, geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika [[muda]] na [[mahali]] fulani bila [[sababu]] au [[kusudi|makusudi]] dhahiri, lakini husababisha [[dhara|madhara]] yaliyo wazi, hasa [[Kifo|vifo]].
Mstari 5:
Ajali hudokeza kwa ujumla matokeo mabaya ambayo labda yangeweza kuepukwa au kukingwa ikiwa matukio yaliyosababisha ajali hiyo yangetambuliwa na kurekebishwa kabla ya tukio hilo.
[[Wataalamu]] katika nyanja za kuepuka [[jeraha|majeraha]] hawatumii neno 'ajali' kuelezea matukio ambayo husababisha majeraha katika jaribio la kubainisha asili ya majeraha mengi ambayo yangeweza kukingwa. Matukio kama hayo huzingatiwa kutoka mtazamo wa [[epidemiolojia]] - yanaweza kuepukwa na kukingwa. Maneno yanayopendelewa
Ajali ya aina ya kawaida ([[gari|magari]], [[moto]], n.k.) huchunguzwa ili kubaini jinsi ya kuepukana nazo katika siku zijazo. Mara nyingine hii hujulikana kama
== Ufafanuzi ==
Mstari 21:
=== Katika shughuli ===
* Ajali wakati wa utekelezaji wa kazi huitwa [[ajali kazini]].
* Kwa kulinganisha, ajali zinazotupata tukibarizi au tunapostarehe huwa sanasana ni majeraha ya michezo.
Mstari 68:
* [http://www.accidents.com Ajali](Kuumia kibinafsi na uganga baya)
* [http://www.europa.eu.int/comm/transport/care/index_en.htm Ajali za kijamii katika Barabara
* [http://www.gotsafety.org Uko na Usalama] (Vidokezo na maelezo ya usalama)
* [http://www.caraccidents.me Ajali ya magari tovuti rasmi] (Maelfu ya
* [https://zaidlaw.com/practice-areas/motor-vehicle-accidents/ Sheria, fidia na ajali)
[[Jamii:Ajali]]
|