Mapazia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:A breeze in the curtains.JPG|thumb|300px|pichaPicha ya pazia]]
'''Mapazia''' ni vipande vya [[kitambaa]] vilivyopangwa kuzuia [[mwanga]], [[maji]] (kama pazia la bafuni), [[vumbi]] n.k. lakini pia [[watu]] wasione ndani kwa sababu za faragha. Mapazia huweza pia kutumiwa kwenye kumbi za maonyesho au matukio mbalimbali kama [[harusi]], [[kimapaimara]] na hata steji ya maigizo (hasa kwa nyuma na likiwa na michoro inayoendana na mandhari ya [[tamthilia]]). Hutumika pia kutenganisha steji na ukumbi.
 
Mstari 9:
 
== Historia ya pazia ==
[[File:Theatre Stage Albert Hall looking stage left showing theatre curtains (2016).jpg|thumb|300px|Mapazia ukumbinikwenye kwaukumbi wa [[tamthilia]].]]
Kutokana na ushahidi uliopatikana katika maeneo ya uchunguzi huko [[Olynthus]], [[Pompeii]] na [[Herculaneum]], sehemu hizo zinaonekana kuwa zilitumia pazia katika kugawanyia vyumba katika zamani za kale. Maandiko kutoka karne ya 2 hadi 6 kuonyesha mapazia kusimamishwa kutoka [[fimbo]] ya matawi ya kuanzia.