Mapazia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:A breeze in the curtains.JPG|thumb|300px|Picha ya pazia]]
'''Mapazia''' ni vipande vya [[kitambaa]] vilivyopangwa kuzuia [[mwanga]], [[maji]] (kama pazia la bafuni), [[vumbi]] n.k. lakini pia [[watu]] wasione ndani kwa sababu za faragha. Mapazia huweza pia kutumiwa kwenye kumbi za maonyesho au matukio mbalimbali kama [[harusi]], [[kimapaimara]] na hata stejijukwaa yala maigizo (hasa kwa nyuma na likiwa na michoro inayoendana na mandhari ya [[tamthilia]]). Hutumika pia kutenganisha steji na ukumbi.
 
Mapazia hukamilisha muonekano wa jumla wa nyumba. Mara nyingi huwekwa ndani ya [[dirisha|madirisha]] ili kuzuia mwanga, kwa mfano [[usiku]] ili kusaidia [[usingizi]]. Kupima ukubwa wa pazia unaohitajika kwa kila dirisha kuna tofauti sana kulingana na aina ya pazia linalohitajika, ukubwa wa dirisha, na aina na uzito wa pazia.