Wikendi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 1016701 lililoandikwa na 193.251.162.55 (Majadiliano)
 
Mstari 1:
'''Wikendi''' ni kipindi ambapo sehemu kubwa ya [[wafanyakazi]] katika nchi nyingi hupata nafasi ya kupumzika.
es 4
 
==Desturi tofauti wa wikendi==
Katika mfumo wa [[nchi za magharibi]] ni [[siku]] za [[Jumamosi]] na [[Jumapili]]. Katika nchi nyingi wa [[Kiislamu]] wikendi ni [[Alhamisi]] na [[Ijumaa]]. Katika nchi ya [[Israeli]] ni Ijumaa na Jumamosi.
 
Utaratibu huo haupo kwa wafanyakazi wote. Katika [[kilimo]], [[Hospitali|hospitalini]], kwenye [[huduma]] za [[umma]] kama [[polisi]] na pia kwenye [[Hoteli|mahoteli]] [[kazi]] inaendelea tu.
 
Vilevile katika nchi nyingi [[idadi]] kubwa ya watu hawana [[ajira]] wakijitegemea kwa namna fulani bila utaratibu wa [[saa]] za kazi. Hivyo katika nchi nyingi za [[Afrika]] [[desturi]] ya wikendi inahusu hasa [[watumishi wa serikali]] na [[Kampuni|makampuni]] makubwa.
 
==Sabato - chanzo cha wikendi==
Msingi wake ni [[amri]] ya [[dini]] ya [[Uyahudi]] ya kupumzika siku ya [[Sabato]] iliyochukuliwa na [[Ukristo|Wakristo]] wa Ulayawengi kama utaratibu kwa ajili ya Jumapili (wanayoiita "Dominika" yaani [[Siku ya Bwana]] kwa kuwa ndiyo siku ya [[ufufuko wa Yesu]]). Muda wa siku hii [[moja]] ya mapumziko uliongezwa katika nchi nyingi kuwa wikendi.
 
Desturi ilisambaa kutoka [[Ulaya]] kwa njia ya [[ukoloni]] katika nchi nyingi [[duniani]] hata kama [[utamaduni]] haukujua siku za mapumziko kama vile huko [[Uhindi]] na [[China]].
 
==Historia ya wikendi ya kisasa==
Desturi ilianzishwa huko [[Uingereza]] katika [[karne ya 19]] kama sehemu ya [[sheria]] iliyolenga kutunza [[afya]] ya wafanyakazi [[Viwanda|viwandani]]. Sheria iliunda utaratibu wa kuwapa nafasi ya kupumzika kuanzia Jumamosi [[mchana]].
 
Nchi mbalimbali zilifuata wakati wa [[karne ya 20]] na [[ofisi]] za [[serikali]] zilifunga pia kuanzia Jumamosi mchana. Katika [[nusu]] ya pili ya karne ya 20 muda wa mapumziko uliopanuaulipanuliwa kuwa Jumamosi yote.
 
{{siku za juma}}
{{mbegu-sayansiutamaduni}}
 
[[Jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Kazi]]