1616 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 14:
== Waliofariki ==
*[[23 Aprili]] - Washairi Mwingereza [[William Shakespeare]] na Mhispania [[Miguel de Cervantes]] walikufa wote tarehe 23 Aprili 1616 ingawa Shakespeare alikufa siku 11 baada ya Cervantes - lakini mmoja alikufa nchini Hispania ([[kalenda ya Gregori]]) na mwingini nchini Uingereza (bado [[kalenda ya Juliasi]])
* [[2 Julai]] - [[Mtakatifu]] [[Bernardino Realino]], [[S.J.]], [[padri]] wa [[Italia]]
 
{{commonscat}}