Akili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Akili''' ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika [[ubongo]] wa [[binadamu]], unaoweza hata kutofautisha jambo kwa [[wema]] na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.
 
Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kama mbwa <ref name="https://www.worldcat.org/">{{cite web|url=https://www.worldcat.org/oclc/30700778|title=The Intelligence of Dogs}}</ref>, sokwe, bonobo, n.k na mimea <ref name="https://www.ncbi.nlm.nih.gov/">{{cite web|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/16054860|title=Green plants as intelligent organism}}</ref> <ref name="https://www.doi.org/">{{cite web|url=https://doi.org/10.1038%2F415841a|title=Mindless mastery}}</ref> huwa na dalili fulani za akili. [[Akili bandia]] ni akili ya mashine inayopatikana kwa kutumia programu za kompyuta.
[[Dhana]] kuhusu [[asili]] ya akili zinatofautiana.
 
== Marejeo ==
<references />
 
== Viungo vya nje ==