Amri Kumi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:10 Gebote (Lucas Cranach d A).jpg|thumb|350px|Amri 10 - taswira ya [[Lucas Cranach Mzee]].]]
'''Amri Kumi''' ni orodha ya [[amri]] kuu za [[Mungu]] katika [[Biblia]]. Za kwanza zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani [[binadamu]] wengine kuanzia [[wazazi]].
 
Toleo la awali linapatikana katika [[kitabu]] cha [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 20:1-17. Toleo la pili liko katika [[Kumbukumbu la Torati]] 5:1-21.
Amri hizi ni sehemu ya [[Torati]] ya [[Uyahudi|Kiyahudi]] na kukubaliwa pia na [[Ukristo|Wakristo]] walio wengi kama amri zinazowahusu wao pia, tena kimsingi zinawadai [[watu]] wote.
 
Hata hivyo [[wafuasi]] wa [[Yesu Kristo]] wanazishika kadiri ya utimilifu wake ulioletwa naye kama [[Agano Jipya]]. Mifano ya ukamilisho huo ni mafundisho ya [[Yesu]] katika [[Injili ya Mathayo]] 5:17-48.
 
== Maneno ya Amri Kumi ==
Mstari 46:
 
== Mpangilio wa Amri Kumi ==
Maneno katika Kutoka 20 huwa na amri mbalimbali. Namba [[kumi]] ni [[hesabu]] iliyotiwa baadaye katika orodha hii, haikuwa nia asili kuwa na amri “10” kamili. Ila tu wakati wa Biblia ilikuwa kawaida tayari kuziita "amri 10", lakini bila kuonyesha [[namba]] au mpangilio katika maneno ya Biblia yenyewe.
 
Hali hii ilisababisha tofauti ndogo katika [[hesabu]] ya amri hizi kati ya [[mapokeo]] ya [[madhehebu]] mbalimbali. Tofauti kuu ni kati ya Wayahudi wakifuatwa na Wakristo mbalimbali kwa upande mojammoja na [[Wakatoliki]] pamoja na [[Walutheri]] na [[Wamoravian]] kwa upande mwingine kuhusu kutokuwa na [[sanamu]] za kuchonga. Tangu [[Agostino wa Hippo]] Wakatoliki walijumlisha sehemu kuhusu kutoabudu sanamu za kuchongwa pamoja na amri ya kutokuwa na [[miungu]] mingine. Kwa kufikia namba [[kumi]] Agostino aligawa sehemu ya mwisho kuwa amri [[mbili]]. [[Martin Luther]] alimfuata Agostino lakini [[Wareformed]] waliona mpangilio tofauti wakaihesabu kama amri ya pekee.
 
<center>