Duka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Window shopping in Cowbridge - geograph.org.uk - 1770681.jpg|thumb|Watu wakiwa dukani wakinunua mahitaji yao.]]
'''Duka''' ni mahali ambapo [[watu]] wanaweza kwenda kununua [[vitu]] wanavyovihitaji au wanavyotaka. Kuna vitu vingi ambavyo watu [[duniani]] wanaweza kununua dukani. Wanaweza kwenda dukani kununua [[chakula]], [[nguo]], [[samani]], [[duka ya vitabo]] na vitu vingine vingi.
 
Watu wanaweza pia kwenda kwenye duka la kutengeneza [[vifaa]] vilivyoharibika, na wanataka watengenezewe vifaa vyao. Kwa mfano, mtu anaweza kuleta [[baiskeli]] iliyoharibika kwenye duka la kutengeneza baiskeli.