Ghala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Ghala linalohifadhi vipuri vidogo '''Ghala''' ni jengo linalohifadhi bidhaa. Ghala hutumiwa na wazalisha...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Automatisches Kleinteilelager.jpg|thumb|right|Ghala linalohifadhi vipuri vidogo]]
'''Ghala''' ni [[jengo]] linalohifadhi [[bidhaa]] kama vile [[malighafi]], [[vipuri]], au bidhaa zinazohusiana na [[kilimo]], viwanda na [[uzalishaji]].
 
'''Ghala''' ni jengo linalohifadhi bidhaa. Ghala hutumiwa na wazalishaji, waagizaji, wauzaji wa nje, wauzaji wa jumla, wafanya biashara za usafiri, [[forodha]], nkn.k. Kwa kawaida huwa majengo makuu makubwa katika maeneo ya viwanda ya mijini na vijijini.
 
Kwa kawaida huwa majengo makuu makubwa katika maeneo ya [[viwanda]] ya [[Miji|mijini]] na [[Kijiji|vijijini]].
Mara nyingi huwa na sehemu maalum ya kupakia na kupakua bidhaa kutoka kwenye malori. Wakati mwingine ghala hujengwa kwa ajili ya upakiaji na upakuaji bidhaa kwa moja kwa moja kutoka kwenye reli, viwanja vya ndege, au bandari. Mara nyingi huwa na [[kambarau]] kwa ajili ya kunyanyua bidhaa. Bidhaa zinazohifadhiwa kwenye ghala zinaweza kujumuisha malighafi, vipuri, au bidhaa zinazohusiana na kilimo, viwanda na uzalishaji.
 
Mara nyingi huwa na sehemu maalum ya kupakia na kupakua bidhaa kutoka kwenye [[Lori|malori]]. Wakati mwingine ghala hujengwa kwa ajili ya upakiaji na upakuaji bidhaa kwawa moja kwa moja kutoka kwenye [[reli]], [[Uwanja wa ndege|viwanja vya ndege]], au bandari. Mara nyingi huwa na [[kambaraubandari]] kwa ajili ya kunyanyua bidhaa. Bidhaa zinazohifadhiwa kwenye ghala zinaweza kujumuisha malighafi, vipuri, au bidhaa zinazohusiana na kilimo, viwanda na uzalishaji.
 
Mara nyingi huwa na [[kambarau]] kwa ajili ya kunyanyua bidhaa.
 
==Viungo vya nje==
* [http://edition.cnn.com/videos/cnnmoney/2016/10/06/amazon-automated-warehouse-cnnmoney.cnnmoney Video ya ghala la kisasa linatotumia roboti]
 
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Uchumi]]