Dajaja (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 4:
==Jina==
Dajaja (Cygnus) ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka Waarabu wanaosema <big>الدجاجة</big> ''al-dajaja'' wakimtaja ndege wa aina ya [[kuku]]. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Waarabu walipokea jina hili kutoka kwa [[Klaudio Ptolemaio|Ptolemaio]] aliyeiita Ορνις ''ornis'' yaani ndege au kuku<ref>Kwa Kigiriki cha Kale neno [[ornis]] iliweza kumaanisha dege kwa jumla au pia kuku kwa maana ya pekee. Linganisha Kunitzsch uk.179</ref>. Wagiriki wa Kale kwa jumla waliona hapa ndege waliotaja kwa majina tofauti<ref>Allen uk 192 anataja Ornis kama jina la kawaida; ni [[Eratosthenes]] aliyewahi kutumia jina “kyknos”. Allen anaona Wagiriki walipokea kundinyota hii kutoka kwa Wababeli bila kukumbuka hao walimaanisha ndege gani.</ref> .
Katika mapokeo
Cygnus - Dajaja ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] (kwake kama ornis - ndege) katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Corona Borealis. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Cyg'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
==Mahali pake==
|