Kiwix : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 24 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q559020 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
 
Kiwix
[[File:Berlin Hackathon 2012-48.jpg|thumb|300px|Kiwix kwenye laptop aina ya [[OLPC]]]]
 
Mstari 8:
Mtumiaji wa Kiwix anaweza pia kusoma data nyingine zinazotumia mfumo wa [[wikiwiki]]. Lakini haiwezekani kubadilisha makala jinsi ilivyowezekana kwa wikipedia mtandaoni.
 
Programu ya Kiwix imekusudiwa kwa watumiaji wanaokosa muunganisho lwawa mtandao hasa kwa ajili ya shule penyezenye kompyuta lakini zisizo na uunganisho unawezesha kufikia wikipedia kwa sababu ya ukosefu wa muunganisho mzuri au gharama yake.
 
Kiwix inaruhusu kutafuta maneno yote yaliyomo katika data. Inawezekana kuhamisha yaliyomo ya makala za wikipedia nje kwa umbo la [[PDF]] na [[HTML]].<ref name=sourceforge>{{cite web |url=http://sourceforge.net/projects/kiwix/ |title=Kiwix |publisher=[[SourceForge]] |accessdate=22 Machi 2012}}</ref>
 
==Marejeo==