Dajaja (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 14:
 
==Nyota==
[[Dhanabu ya Dajaja]]<ref>Knappert anataja hapa "Dhanabu ya Ukabu" (Mkia wa Tai); lakini hii ni jina la ε na ζ Aquilae (Allen uk. 61), angaiaangalia pia [http://stars.astro.illinois.edu/sow/denebokaba.html Kaler]; α Cygni inatajwa kwa Allen uk. 195 kuwa "Al Dhanab al Dajajah", linganisha pia tafsiri za Kiarabu za Almagesti ya Klaudio Ptolemaio zinazotumia "dajajah", Kunitzsch uk.179 na "PAL-Glossary" ya mradi wa Ptolemaeus Arabus et Latinus</ref> au <big>α</big> Cygni ([[:en:Deneb|Deneb]]) ni nyota angavu zaidi . Ina [[mwangaza unaoonekana]] wa [[mag]] 1.25; umbali wake na Dunia bado unajadiliwa kuna makadirio kati ya [[miaka ya nuru]] 1425 hadi 3200<ref>[http://www.constellation-guide.com/Cygnus/ Cygnus]], tovuti ya Constellation Guide, iliangaliwa Oktoba 2017</ref><ref>[http://stars.astro.illinois.edu/sow/deneb.html Deneb (Alpha Cygni)], tovuti ya Prof. Jim Kaler</ref>.