Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tengua pitio 1016966 lililoandikwa na Sultanseifu (Majadiliano)
Mstari 1:
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu ya zamani.]]
[[Picha:Nokia1100 new.jpg|thumbnail|[[Simu ya mkononi]].]]
[[picha:smartphone.jpg|thumb|260px|Simu za kisasa.]]
'''Simu''' ''(kutoka [[Kiarabu]] <big>سیم</big>, sim, inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umememawasilianoanga]]. Kimaana ni chombo chakinachotumia [[mawasilianoangaumeme]].
 
Matumizi ya simu ni kwa ajili ya [[watu]] wawili walio katika sehemu [[mbili]] tofauti kuongea.
 
Awali simu ilihitaji iunganishwe na nyaya., Lakinilakini leo hii simu inaweza kutumia [[redio]]. Hiyo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[picha:smartphone.jpg|thumb|260px|simu yabila kisasawaya]].
 
==Historia==
Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo [[1876]] na [[Alexander Graham Bell]],<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> [[Uskoti|Mskoti]] mwenye [[umri]] wa miaka 29 aliyeishi nchini [[Marekani]]. Lakini [[Mwitalia]] [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa [[1871]] hukohuhukohuko Marekani.
 
Tangu mwishoni mwa [[karne ya 20]] kuna aina mpya ya simu iliyoenea ambayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu, ni aina ya [[mtambo]] wa [[mawasiliano]] uliosambaa haraka sana.
 
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee kwa sababu zinaruhusu [[mawasiliano]] hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifiki.
 
{{tech-stub}}
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.kodi-ya-simu.info/nambari-ya-simu.php Kikokotozi cha nambari ya simu kwa simu za kimataifa]
 
[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Simu]]
[[Jamii:Teknolojia]]