Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 116:
 
Wafuasi wa dini nyingine kwa jumla ni kama 1% ya wakazi wote. Kundi kubwa ni [[Bahai]] lakini dini yao ilipigwa marufuku baada ya mapinduzi ya Kiislamu. Kundi linalofuata ni Wakristoː kati hao kundi kubwa ni [[Kanisa la Kitume la Armenia|Waarmenia]], halafu [[Kanisa Katoliki la Wakaldayo|Wakaldayo]]. [[Wayahudi]] wa Uajemi ni kundi kubwa kati ya nchi zote za Kiislamu wa [[mashariki ya kati]] (0.01%). Wazoroasta wamebaki pia (0.03%). Kundi dogo sana ni [[Wamandayo]] wanaoitwa pia wafuasi wa [[Yohane Mbatizaji]].
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
== Tanbihi ==