Kirgizia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Wakazi: +kiungo cha orodha ya lugha
No edit summary
Mstari 55:
}}
 
'''Kirgizia''' (pia ''KirgiztanKirgizstan'', ''Kirigizistani'' au ''Kigistani''; kwa [[Kikirgizi]]: Кыргызстан ''(Kyrghyzstan)''; kwa [[Kirusi]]: Киргизия ''(Kirgizia)'') ni nchi ya [[Asia ya Kati]].
 
Imepakana na [[Kazakhstan]], [[Uzbekistan]], [[Tajikistan]] na [[China]].
Mstari 92:
 
Takriban 64% ni [[Waislamu]], lakini kuna [[uhuru wa dini]]. [[Wakristo]] wako hasa katika ya wakazi wenye asili ya [[Ulaya]], wakiwemo kwanza [[Waorthodoksi]], halafu [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]] wachache.
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
==Marejeo==