Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d nimeongeza sehemu kidogo ya aina za nyimbo kulingana na nchi na jamii
Mstari 7:
Nyimbo aghalabu huambatana na [[ala]] za [[muziki]] kama vile [[ngoma]], [[zeze]], [[marimba]], makofi, [[vigelegele]] na kadhalika.
 
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za [[dini]], [[harusi]], [[siasa]], [[jando]]/[[unyago]], [[kilimo]], nyimbo za kuwinda na kadhalika.
 
Aina ya Nyimbo
 
Kuna aina nyingi za nyimbo zikitofautishwa na nchi, tamaduni na wanaoimba. Kwa mfano kuna nyimbo za kitamaduni, za injili na za kisasa. Hizi vikundi ni kulingana na nyakati. Hivi vikundi vinaweza gawanya zaidi kulingana na tofauti. Kwa mfano nyimbo za kisasa zinaweza gawanywa kulingana na mtindo wa nyimbo. Nyimbo zinaweza gawanywa kulingana na nchi. Nchini [[Kenya]] kuna nyimbo za kabila tofauti tofauti kama chakacha na mugithi ambazo zinahusishwa na kabila tofauti tofauti. Nyimbo za kisasa zinarekodiwa kwenye studio za kisasa ama [https://studiogearexperts.com/best-laptop-for-music-production/htm studio za nyumbani] ambao ni mtindo unaoleta mageuzi makuu kwa wasanii. Leo unaweza rekodi wimbo mzima ukiwa nyumbani ukiwa na vifaa vinavyo stahili.
 
{{mbegu-muziki}}