Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d nimeongeza sehemu kidogo ya aina za nyimbo kulingana na nchi na jamii
No edit summary
Mstari 3:
Nyimbo huundwa kwa [[lugha]] ya mkato na matumizi ya lugha ya [[picha]] (taswira).
 
Muundo wa nyimbo huwa ni wa kuimbika na [[mizani]] ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana.
 
Nyimbo aghalabu huambatana na [[ala]] za [[muziki]] kama vile [[ngoma]], [[zeze]], [[marimba]], makofi, [[vigelegele]] na kadhalika.
Mstari 9:
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. [[Mashairi]] ya nyimbo huimbwa popote pale panapostahili kulingana na tukio au muktadha unaofungamana na wimbo. Hivyo basi kuna nyimbo za [[dini]], [[harusi]], [[siasa]], [[jando]]/[[unyago]], [[kilimo]], nyimbo za kuwinda na kadhalika.
 
==Aina ya Nyimboza nyimbo==
Kuna aina nyingi za nyimbo zikitofautishwa na nchi, [[utamaduni]] na [[waimbaji]] wenyewe. Kwa mfano kuna nyimbo za kitamaduni, za [[Injili|Kiinjili]] na za kisasa.
 
Kuna aina nyingi za nyimbo zikitofautishwa na nchi, tamaduni na wanaoimba. Kwa mfano kuna nyimbo za kitamaduni, za injili na za kisasa. HiziHivyo vikundi ni kulingana na nyakati. Hivi vikundina vinaweza gawanyakugawanywa zaidi kulingana na tofauti. Kwa mfano nyimbo za kisasa zinaweza gawanywa kulingana na [[mtindo]] wa nyimbowimbo. Nyimbo zinaweza gawanywa kulingana na nchi. Nchini [[Kenya]] kuna nyimbo za kabila[[Kabila|makabila]] tofauti tofautitofautitofauti kama [[chakacha]] na [[mugithi ]] ambazo zinahusishwa na kabila tofauti tofautitofautitofauti.

Nyimbo za kisasa zinarekodiwa kwenye [[studio]] za kisasa ama [https://studiogearexperts.com/best-laptop-for-music-production/htm studio za nyumbani] ambao ni mtindo unaoleta mageuzi makuu kwa [[wasanii]]. Leo unaweza rekodikurekodi wimbo mzima ukiwa [[Nyumba|nyumbani]] ukiwamradi uwe na vifaa vinavyo stahilivinavyostahili.
 
{{mbegu-muziki}}