Uzbekistan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 81:
Kuna wakazi 31,025,500 ([[2015]]).
 
Walio wengi (zaidi ya 70 %) hutumia [[lugha]] ya [[Kiuzbeki]] ambacho ni kati ya [[lugha za Kiturki]] na ndiyo [[lugha rasmi]]. Angalia pia [[orodha ya lugha za Uzbekistan]].
 
Kuna makundi mengi vidogo zaidi vya [[utamaduni]] tofauti kama vile [[Warusi]] (5,5 %), [[Watajiki]] (5,1 %), [[Wakazakhi]] (4,2 %), [[Watartari]] (2 %), [[Wakarakalpaki]] (2 %), [[Wakorea]] (1,1 %) na mengine.
 
Upande wa [[dini]], zaidi ya 79% ni [[Waislamu]], lakini wengi wao hawana [[madhehebu]] maalumu; [[Wasuni]] ni 18% na [[Washia]] 1%. [[Wakristo]] ni 9%, wengi wakiwa Warusi [[Waorthodoksi]]; [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]] hawafikii 3%. Pamoja na hayo, [[serikali]] [[dhuluma|inawadhulumu]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
==Viungo vya nje==