Mexiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 140:
Katika miaka iliyofuata nchi haikupata msimamo imara kisiasa wala kiuchumi. Serikali mara nyingi zilikuwa hafifu na kubadilishana.
 
Vikundi vya [[ushikiiajiushikiliaji ukale]] na [[uliberali]] vilipigana hadi kuingia katika [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]].
 
Mwaka wa uhuru maeneo ya kusini yalijitenga na kuwa [[Shirikisho la Amerika ya Kati]] lililofarakana baadaye kuwa nchi za [[Guatemala]], [[Honduras]], [[El Salvador]], [[Nikaragua]] na [[Costa Rica]].
 
Mwaka [[1835]] Marekani ilijaribu kununua maeneo ya [[Texas]] na [[Kalifornia]] lakini MesxikoMeksiko ilikataa. Hata hivyo utawala wa Mexiko kuhusu maeneo haya ya kaskazini yake ulikuwa hafifu na wa juujuu tu, Waindio walijitegemea hali halisi nje ya miji michache. Hivyo serikali ya Mexiko ilikaribisha walowezi kutoka Marekani kuhamia Texas. Hao walowezi wenye utamaduni wa [[Kiingereza]]-Kimarekani walitangaza uhuru wao mwaka [[1836]] wakaunda [[Jamhuri ya Texas]] iliyochukuliwa na Marekani mwaka [[1845]] kuwa jimbo lake.
 
Hatua hii ilisababisha [[Vita ya Marekani na Mexiko]] ya miaka [[1846]] - [[1848]]. Mexiko ikashindwa na kaskazini yote ikawa sehemu ya Marekani ([[Kalifornia]], [[New Mexico]], [[Arizona]], [[Nevada]], [[Utah]] na [[Colorado]], jumla [[theluthi]] moja ya eneo lake lote.
Mstari 150:
Mexiko ilishambuliwa mara mbili na [[Ufaransa]] kutokana na madai juu ya [[madeni]] ya taifa kwa [[raia]] au [[benki]] za nje. Kwenye [[vita ya keki]] ([[1838]]-[[1839]]) Ufaransa ilidai fidia kwa uharibifu uliotokea katika duka la keki la Mfaransa mjini Mexiko na [[manowari]] za Ufaransa zilishambulia bandari za Mexiko hadi rais wake kukubali deni hili.
 
Mashambulio makubwa zaidi yalifuata mwaka [[1861]]. Mexiko ilishindwa kulipa madeni kwa mataifa ya nje. Ufaransa chini ya [[Napoleon III]] iliamua kufanya Mexiko nusu-koloni yake; jeshi la Ufaransa ilivamia nchi, kufukuza serikali na kumweka [[Mwaustria]] [[]][[Maximilian I wa Mexiko|Maximilian I]] kama "Kaisari wa Mexiko". Serikali ya rais [[Benito Juarez]] ilipinga uvamizi huu kwa njia ya vita ya wanamgambo na mwaka [[1866]] Wafaransa walipaswa kuondoka tena, Maximilian aliuawa mwaka [[1867]].
 
====Karne ya 20====