Bosnia na Herzegovina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 54:
}}
 
'''Bosnia na Herzegovina''' (''Bosna i Hercegovina'' au Босна и Херцеговина ) ni nchi ya [[Ulaya]] [[kusini]] [[mashariki]] kwenye [[rasi]] ya [[Balkani]]. Mara nyingi huitwa kwa kifupi "Bosnia" tu na watu wake "Wabosnia". Ilikuwa sehemu ya [[Yugoslavia]] hadi mwaka [[1992]].
 
Eneo lake ni 51,129 [[km²]] 51,129 linalokaliwa na wakazi karibu [[milioni]] [[nne]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Sarayevo]].
 
Kati ya wakazi kuna vikundi vitatu vinavyotofautiana ki[[utamaduni]] na ki[[dini]]: [[Wabosnia]] (48%), [[Waserbia]] (37.1%) na [[Wakroatia]] (14.3%). Wanadai ya kwamba [[lugha]] zao ni tofauti, lakini hali halisi ni lugha ileile ya [[Kislavoni]]. Wakati wa Yugoslavia iliitwa "[[Kiserbokroatia]]". Tofauti ziko kwa sababu Wabosnia hutazamiwa kuwa [[Waislamu]], [[Waserbia]] kuwa [[Waorthodoksi]] na [[Wakroatia]] kuwa Wakristo [[Wakatoliki]].
Mstari 83:
[[Mamlaka]] kuu haimo mikononi mwa [[serikali]] ya wenyeji bali mikononi mwa [[Kamishna Mkuu kwa Bosnia na Herzegovina]] anayeteuliwa na [[Umoja wa Mataifa]] na [[Umoja wa Ulaya]]. Ana mamlaka ya kubatilisha [[sheria]] zilizoamuliwa na [[bunge]], pia kuachisha mawaziri kazi.
 
== ViungoTazama vya Njepia ==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.bih-x.com/en/index.html Bosnia and Herzegovina online]