Kisiwa cha Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} (5) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 9:
 
Kuna wakazi 5,761 ([[2012]]).
[[Picha:Standing Moai at Ahu Tongariki, Easter Island, Pacific Ocean.jpg|700px|center|thumb|Vichwa vya kisiwa cha Pasaka.]]
 
== Jiografia ==
Line 21 ⟶ 20:
 
== Historia ==
[[Picha:Standing Moai at Ahu Tongariki, Easter Island, Pacific Ocean.jpg|700px|center|thumb|Vichwa vya kisiwa cha Pasaka.]]
Inaaminika ya kwamba kisiwa kilikaliwa na watu kutoka [[Austronesia]] katika [[milenia ya 1]] [[BK]]. Walileta nao [[ndizi]], [[taro]], [[viazi]] na [[miwa]] pamoja na [[kuku]] na [[panya]].
 
Mstari 38:
 
Leo hii takriban theluthi mbili ya wakazi ni [[Rapanui]] au wenyeji asilia ya kisiwa. Kwa jumla kuna Warapanui 4,647 (mwaka [[2002]]): nusu yao wanaishi kisiwani na nusu nyingine Chile bara.
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Easter Island}}
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
 
{{DEFAULTSORT:Pasaka, Kisiwa cha}}