Shirikisho la Mikronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 53:
 
== Jiografia ==
[[Shirikisho]] lajumlisha sehemu kubwa ya [[funguvisiwa yala Karolini]] katika [[Mikronesia]], kanda la Pasifiki. Jumla ya [[visiwa]] ni 607.
 
Nchi ina majimbo manne ya kujitawala ambayo ni [[Chuuk]], [[Kosrae]], [[Pohnpei]] na [[Yap]].
Mstari 82:
== Historia ==
[[Picha:Map_of_the_Federated_States_of_Micronesia_CIA.jpg|thumb|350px|left]]
Visiwa vimekaliwa na watu tangu miaka 4,000 iliyopiuailiyopita, hasa kutoka [[Rasi]] ya [[Malay]] na visiwa vya [[Indonesia]]. Wengine wametokea visiwa vya [[Polinesia]].
 
Kisiwani Yap kulitokea [[dola]] na [[utawala wa kifalme]].
Mstari 92:
Japani ilifuatwa na Marekani iliyoendelea kutawala kwa niaba ya [[UM]] hadi uhuru.
 
== Lugha na Utamaduniutamaduni ==
[[Picha:Pohnpei Kolonia Church.jpg|thumb|250px|left|[[Kanisa katoliki]] kisiwani Pohnpei]]
Kuna [[orodha ya lugha za Mikronesia|lugha 18]] ambazo huzungumzwa katika Shirikisho la Mikronesia.