Niue : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 49:
}}
[[Image:Niue-cia-world-factbook-map.png|thumb|250px]]
'''Niue''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Pasifiki]] ya kusini.
Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na [[New Zealand]] inayoratibu [[siasa]] ya nje na mambo ya ki[[jeshi]]. Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.
Niue iko [[km]] 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya [[Tonga]], [[Samoa]] na [[Visiwa vya Cook]].
Inahesabiwa kati ya visiwa vya [[Polinesia]] ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".
Wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (67%), halafu [[Wakatoliki]] (10%). Pia kuna Wamormoni (10%).▼
▲Wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (67%), halafu [[Wakatoliki]] (10%). Pia kuna [[Wamormoni]] (10%).
{{mbegu-jio}}▼
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
{{Pasifiki}}
▲{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Nchi za Australia na Pasifiki]]
|