Tofauti kati ya marekesbisho "Palau"

93 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
|national_motto =
|national_anthem = ''[[Belau rekid|Belau loba klisiich er a kelulul]]''
|official_languages = [[Kiingereza]], [[KipalauanKipalau]], [[Kijapani]] (kisiwani Angaur)
|capital = [[Melekeok]]<sup>1</sup>
|latd=7 |latm=21 |latNS=N |longd=134 |longm=28 |longEW=E
 
[[Picha:Palau-CIA WFB Map.png|thumb|200px|left|Ramani ya Palau]]
'''Palau''' (kwa [[Kipalau]]: '''Belau''') ni [[nchi ya visiwani]] ya [[Mikronesia]] katika [[Bahari ya Pasifiki]]. Iko takriban [[km]] 500 upande wa [[mashariki]] wa [[Ufilipino]]. Jumla kuna visiwa 250 hadi 350 na idadi inategemea namna gani mtazamaji anapendelea kuhesabu sehemu ya [[nchi kavu]] kuwa [[kisiwa]] kufuatana na ukubwa au udogo wake. Visiwa tisa vimekaliwa na watu na kisiwa kikubwa chenye [[km²]] 331 ni [[Babelthuap]].
 
Jumla kuna [[visiwa]] 250 hadi 350: [[idadi]] inategemea namna gani mtazamaji anapendelea kuhesabu sehemu ya [[nchi kavu]] kuwa [[kisiwa]] kufuatana na ukubwa au udogo wake. Visiwa tisa vimekaliwa na watu na kisiwa kikubwa chenye [[km²]] 331 ni [[Babelthuap]].
 
Hadi mwaka [[1994]] ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Marekani]] kwa niaba ya [[Umoja wa Mataifa]]. Marekani inaendelea kuwajibika kwa mambo ya ki[[jeshi]] kufuatana na [[mkataba]] uliofanywa baada ya [[uhuru]].
[[Picha:States of Palau.jpg|thumb|200px|left|Mikoa 16 ya Palau]]
 
==Tazama pia==
{{mbegu-jio}}
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
{{Pasifiki}}
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Palau| ]]