Papua Guinea Mpya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 58:
[[Mji mkuu]] ni [[Port Moresby]].
 
==Historia==
Nchini Papua Guinea Mpya kuna [[lugha]] za asili zaidi ya 800 (angalia [[orodha ya lugha za Papua Guinea Mpya]]).<ref>[http://www.ethnologue.com/country/PG Papua New Guinea]. Ethnologue</ref> Hiyo inaonyesha kwamba ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa zaidi katika [[utamaduni]].
Inakadiriwa kwamba watu wa kwanza walifika huko miaka 42,000-45,000 [[KK]].<ref>O’Connell, J. F., and J. Allen. "Pre-LGM Sahul (Australia-New Guinea) and the archaeology of early modern humans." Rethinking the human revolution: new behavioural and biological perspectives on the origin and dispersal of modern humans (2007): 395-410.</ref>
 
==Watu==
Kati ya wakazi, wengi wanaishi katika [[mazingira]] asili,<ref name="University of Hawaii Press">{{Cite book | last1= James | first1= Paul | authorlink= Paul James (academic) | last2= Nadarajah | first2= Yaso | last3= Haive | first3= Karen | last4= Stead | first4= Victoria | title= Sustainable Communities, Sustainable Development: Other Paths for Papua New Guinea | url=http://www.academia.edu/3230875/Sustainable_Communities_Sustainable_Development_Other_Paths_for_Papua_New_Guinea_author_with_Nadarajah_Stead_and_Have_University_of_Hawaii_Press_Honolulu_2012 pdf download | year= 2012 | publisher= University of Hawaii Press | location= Honolulu }}</ref> ambayo kwa kiasi kikubwa hayajachunguzwa na wataalamu.<ref>{{cite news |author=Gelineau, Kristen |url=http://www.independent.co.uk/news/science/spiders-and-frogs-identified-among-50-new-species-1654296.html |title=Spiders and frogs identified among 50 new species |work=[[The Independent]] |date=26 March 2009 |accessdate=26 March 2009}}</ref>
 
Asilimia 18 tu wanaishi mijini.<ref>{{cite web |publisher=World Bank |year=2005 |title=World Bank data on urbanisation |work=World Development Indicators |url=http://devdata.worldbank.org/wdi2005/Table3_10.htm |archiveurl=http://web.archive.org/web/20090203131044/http://devdata.worldbank.org/wdi2005/Table3_10.htm |archivedate=2009-02-03 |accessdate= 15 July 2005}}</ref>
 
Nchini Papua Guinea Mpya kuna [[lugha]] za asili zaidi ya 800 (angalia [[orodha ya lugha za Papua Guinea Mpya]]).<ref>[http://www.ethnologue.com/country/PG Papua New Guinea]. Ethnologue</ref> Hiyo inaonyesha kwamba ni kati ya nchi zenye tofauti kubwa zaidi katika [[utamaduni]].
 
Upande wa [[dini]], [[Ukristo]] unafuatwa na 96% ya wakazi.<ref>{{cite web |url=http://www.state.gov/g/drl/rls/irf/2003/24317.htm |title=Papua New Guinea |work=International Religious Freedom Report 2003 |publisher=US Department of State}}</ref> kati ya [[madhehebu]], linaongoza [[Kanisa Katoliki]] (27.0%), likifuatwa na [[Walutheri]] (19.5%).
 
==HistoriaTazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]

==Tanbihi==