Samoa ya Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13:
|government_type =
|leader_titles = Mkuu wa Dola<br />Gavana
|leader_names = [[BarackDonald ObamaTrump]]<br />[[Lolo Letalu Matalasi Moliga]]
|area_rank = ya 212
|area_magnitude = 1 E8
Mstari 50:
}}
 
'''Samoa ya Marekani''' (kwa [[Kisamoa]]: '''Amerika Samoa''' au '''Samoa Amelika''') ni [[Eneo la ng'ambo la Marekani]] katika [[bahari]] ya [[Pasifiki]] upande wa [[kusini]] wa [[nchi huru]] ya [[Samoa]].
Wamormoni
Kuna wakazi 54,719 (wengi wakiwa wametokana na wakazi asili) katika eneo la nchi kavu ni km² 199.
 
Kuna wakazi 54,719 (wengi wakiwa wametokana na wakazi asili) katika eneo la nchi kavu nila [[km²]] 199.
Eneo lake ni sehemu ya [[funguvisiwa]] ya Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na [[ukoloni]] wa [[karne ya 19]] ambako [[Ujerumani]] na [[Marekani]] zilishindana juu ya visiwa hivi. Funguvisiwa iligawiwa kwa [[mkataba wa Berlin wa 1899]]. Sehemu ya [[mashariki]] ikawa upande wa Marekani na sehemu ya [[magharibi]] upande wa Ujerumani.
 
Eneo lake ni sehemu ya [[funguvisiwa]] yala Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na [[ukoloni]] wa [[karne ya 19]] ambako [[Ujerumani]] na [[Marekani]] zilishindana juu ya visiwa hivihivyo. Funguvisiwa iligawiwaliligawiwa kwa [[mkataba wa Berlin wa 1899]]. Sehemu ya [[mashariki]] ikawa upande wa Marekani na sehemu ya [[magharibi]] upande wa Ujerumani.
 
Kwa [[katiba]] ya mwaka [[1967]] Samoa ya Marekani ilipewa [[madaraka]] ya kujitawala.
 
Upande wa [[dini]], karibu wote ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (50%) na [[Wakatoliki]] (20%), kama si [[Wamormoni]].
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
{{Pasifiki}}