Visiwa vya Marshall : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d + Picha
No edit summary
Mstari 51:
}}
[[Picha:RMImap-CIA.jpg|thumb|left|400px]]
'''Visiwa vya Marshall''' ni [[nchi ya visiwani]] ya [[Mikronesia]] katika [[Pasifiki]] ya [[magharibi]]. Nchi jirani katika [[bahari]] ni [[Nauru]], [[Kiribati]], [[Shirikisho la Mikronesia]] na eneo la [[Marekani]] la [[Kisiwa cha Wake]].
 
Nchi jirani katika [[bahari]] ni [[Nauru]], [[Kiribati]], [[Shirikisho la Mikronesia]] na eneo la [[Marekani]] la [[Kisiwa cha Wake]].
[[Atolli]] ya Majuro ina nafasi ya [[mji mkuu]].
 
[[Atolli]] ya Majuro inainashika nafasi ya [[mji mkuu]].
Wakazi ni 68,000, wengi wakiwa wametokana na wenyeji wa kwanza.
 
Upande wa [[dini]], wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (51.5%), [[Wapentekoste]], [[Wakatoliki]], mbali ya [[Wamormoni]] (8.3%).
 
== Jiografia ==
Line 64 ⟶ 62:
* [[safu ya Ralik]] upande wa [[magharibi]].
 
Kwa jumla kuna visiwa na vipande vya atolli 1,150 katika eneo la bahari la [[km²]] 1,900,000.
 
== Historia ==
Line 81 ⟶ 79:
 
Hadi mwaka [[1958]] ilitokea milipuko 6,913 kwenye atolli za [[Bikini (atolli)|Bikini]] na [[Eniwetok (atolli)|Eniwetok]]. Hadi leo kuna wakazi wa visiwa wanavyoteswa na [[maradhi]] yaliyosababishwa na [[mnururisho]] wa ma[[bomu]] haya. Bikini haitawezekana kukaliwa na watu kabla ya mwaka [[2050]], Eniwetok haifai kwa makazi ya [[binadamu]] kwa miaka 24,000 inayokuja.
 
==Watu==
Wakazi ni 68,000, wengi wakiwa wametokana na wenyeji wa kwanza.
 
Upande wa [[dini]], wengi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (51.5%), [[Wapentekoste]], [[Wakatoliki]], mbali ya [[Wamormoni]] (8.3%).
 
==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]
 
==Viungo vya nje==
{{commons}}
{{Pasifiki}}
 
{{mbegu-jio}}
{{Pasifiki}}
 
{{DEFAULTSORT:Marshall, Visiwa vya}}