Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Manyara location map.svg|right|thumbnail|260px|Mkoa wa Manyara katika Tanzania]]
[[Picha:TZ Manyara wilaya.gif|thumb|260px|Wilaya za Mkoa wa Manyara]]
'''Mkoa wa Manyara''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''27000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/manyara.pdf</ref>
. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] na [[Mkoa wa Kilimanjaro|Kilimanjaro]] upande wa [[kaskazini]], [[Mkoa wa Tanga]] upande wa [[mashariki]], [[Mkoa wa Dodoma]] upande wa [[kusini]] na mikoa ya [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]] upande wa [[magharibi]].
 
Mkoa wa Manyara umetengwa na Mkoa wa Arusha mwaka [[2002]] kwa azimio la [[rais]] wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] ukiwa na [[eneo]] la [[km²]] 46,359.