Babati Mjini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Mstari 19:
}}
[[Picha:Morning sun, Lake Babati.jpg|250px|thumbnail|Ziwa Babati na Mlima Kwaraa kando la mji wa Babati]]
'''Babati''' ni [[mji]] mdogo mwenye halmashauri na hivyo hadhi ya [[wilaya]] katika [[Mkoa wa Manyara]] nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''27100'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/manyara.pdf</ref>
. Ni pia [[makao makuu]] ya Mkoa wa Manyara, takriban kilomita 170 kusini mwa [[Arusha]] na kilomita 220 upande wa kaskazini mwa Dodoma. Mji uko karibu na Mbuga wa Tarangire ukienea kati ya ncha ya kaskazini ya [[Ziwa la Babati]] na karibu na tako la Mlima Kwaraa (2145 m [[juu ya UB]]).
 
Hadi mwaka 2012 kata za mji wa babati zilikuwa sehemu ya Wilaya ya Babati ya awali; baadaye Babati Mjini na [[Wilaya ya Babati Vijijini]] zilitengwa kuwa halmashauri mbili za pekee.