Wilaya ya Babati Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Babati Vijijini''' ni wilaya mojawapo katika [[Mkoa wa Manyara]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''27200'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/manyara.pdf</ref>
. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, wilaya hii ilikuwa na wakazi wapatao 312,392 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Manyara Region – Babati District Council]</ref>
 
Eneo la mji wa Babati limepewa halmashauri yake ya pekee na hivyo kuwa wilaya ya pekee.