Magugu (Babati) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Magugu''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Babati Vijijini]] katika [[Mkoa wa Manyara]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''27201'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/manyara.pdf</ref>
. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 32,774 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Manyara Region – Babati District-Council]</ref>
 
Wakazi ni hasa [[Wairaqw]], [[Warangi]], [[Wambugwe]], [[Wanyaturu]], [[Wanyiramba]] na [[Kabila|makabila]] mengine madogomadogo.