Kazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Kwa msingi huo, ni [[wajibu]] wa kila mtu aliyefikia [[ukomavu]] fulani.
 
Ni pia mchango muhimu katika [[jamii]] na inayostahili kuheshimiwa na kutuzwakutunzwa na wote, kuanzia [[serikali]] hadi watu binafsi.
 
Kwa kuwa ni wajibu, kazi ni vilevile [[haki ya msingi ya binadamu]]. Bila kuwa nayo, mtu anaelekea kunyong'onyea na kujiona hama maana, hasa kama [[utovu wa kazi]] unadumu muda mrefu na kumzuia asiweze kupanga [[maisha]] yake, kwa mfano upande wa [[ndoa]] na [[familia]], kwa sababu ya kutojitegemea.
Mstari 26:
Pamoja na hayo, [[Yesu]] alikubali kufanya kazi kwa [[mikono]] yake kama [[fundi]] (labda [[seremala]]) kwa sehemu kubwa kabisa ya maisha yake, alipoishi na [[familia]] yake au walau [[mama]] yake [[Kijiji|kijijini]] [[Nazareti]].
 
[[Mtume Paulo]] alipinga kwa nguvu [[uzembe]] wa waliodai kazi haihitajiki tena kwa sababu eti, [[ufalme wa Mungu]] umefika. Alisema, "Asiyetaka kufanya kazi, asile chakula". <ref name="www.biblegateway.com">{{cite web|url=https://www.biblegateway.com/verse/en/2%20Thessalonians%203%3A10|title=Aya kuhusu kazi}}</ref> Mwenyewe, pamoja na kuhubiri [[Injili]] alikuwa akiendelea na kazi yake ya [[Ushonaji|kushona]] [[hema|mahema]] ili kupata mahitaji yake bila kulemea wengine.
 
 
== Marejeo ==
<references />
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.ilo.org/] Tovuti rasmi ya International Labour Organization
*[http://unesdoc.unesco.org/images/0012/001257/125740e.pdf/] Ushauri kuhusu kazi toka Unesco
*[https://www.livecoach.io/career-coaching] Ushauri mtandaoni
 
 
 
 
{{mbegu}}